Emmanuel lulandala ni mwanafunzi wa mwaka wa pili kwenye chuo cha ushirika na biashara Moshi, anacho kipaji cha kuandaa na kuandika makala mbalimbali zinazolenga kuwahamasisha watu kupenda kuthubutu kufanya mambo fulani ambayo ni yamsingi sana katika maisha ya kila mwanadamu na jamii nzima kwa ujumla katika nyanja mbalimbali kiuchumi, kisiasa na kijamii
Kutokana na kipaji alichonacho Bw. Lulandala, Benachiko Entrepreneurship Connection imempatia sehemu ya kuweka makala zake ambazo tunatarajia hasa zilenge kwenye masuala ya uchumi na fedha ikiwa ndo sababu kubwa ya kuanzishwa kwa blog hii.
Makala zake zinapatikana kwenye page ya Entrepreneurship stories,
Nyote mnakaribishwa kujua kijana huyu ana yapi yakutuambia.
No comments:
Post a Comment