Hakuna
msaada bora kati ya misaada iliyo bora kama kujiajili wewe
mwenyewe,wajasiliamali wadogowadogo ndio ngao na ndio nyenzo imara ya maendeleo  hivyo 
basi ukiwa kama Mtanzania mzalendo unafikiri nini juu ya hili kuna
maswali mengi unapaswa kujiuliza  kwa
sababu gani?,kwa ajili gani?,kwanini?,je nitaweza? au itawezakana?Ni maswali
yanayo umiza  vichwa vya watu walio wengi
juu ya mawanda mapana   ya ujasiliamali ;hivi mjasiliamali ni nani?ana
nini?anafanya nini  na anaweza nini?.Licha
ya haya yote unapoamua kufanya  fanya na
usiseme kuwa unajaribu kufanya maana utakwama.
No comments:
Post a Comment