Thursday 2 May 2013

SAMPLE ZA MAPAMBO TULIYONAYO

Haya ni makopo yanayotengenezwa kwa mikono na wasusi ambao wamebobea katika shughuli za ususi wa vitu vingi kama mikeka ya ukiri, vibaba na hata vikapu ambavyo usukwa kwa kutumia vifaa vya asili kama nyasi za porini, kindu na kamba za migomba. Baadhi ya Mapambo haya yanaweza pia kutumika katika ahalisia wake kama jinsi kopo hili linavyoweza kutunzia vifaa vya ofisini, vitu vya urembo kama cheni, hereni,mikufu, pete na hata bangili vile vile unaweza kuwekea maua mezani.
Kwamawasiliano zaidi ;
Cell +255766638352/+255767482300
E-mail : benachiko@gmail.com

No comments:

Post a Comment