Monday 3 March 2014

BENACHIKO ENTREPRENEURSHIP CONNECTION (BEC) YAPANUA WIGO

Benachiko Entrepreneurship connection imefanikiwa kumpata balozi mpya katika chuo kikuu cha elimu alimaarufu kama DUCE Bw. Libent Martine ambaye tutakuwa naye katika kufanikisha malengo makuu ya taasisi hii ikiwa ni pamoja na kutoa motisha hasa katika masuala ya ujasiriamali na uchumi kwa jamii zinazotunguka na kuwafikia walengwa wengi kadri iwezekanavyo.