Tuesday 29 October 2013

HUDUMA YETU MPYA

Uongozi wa Benachiko Entrepreneurship Connection (BEC )                                        Unapenda kuwatangazia kuwa unatoa huduma mpya ya udalali kwa kila aina ya bidhaa yenye kukubalika kisheria kwa makubaliano maalumu kati ya pande mbili muuzaji na dalali ili kuweka uhuru na uwazi kati ya pande mbili na kufanikisha zoezi zima la uuzaji wa bidhaa,bidhaa iwe ni kuanzia thamani ya 50,000Shs ambapo madalali watapata asilimia 10% ya bei ya bidhaa iliyo nunuliwa.              
                Hivyo bidhaa  zitatangazwa kupitia tovuti yetu ya WWW.BENACHIKO.BLOGSPOT .COM  kwenye ukurasa wa brokerage service pia mabango yatatumika ili kuhakikisha wateja wanapatikana kwenye soko.                                     

               Karibuni sana na upate huduma bora kutoka kwa BENACHIKO ENTREPRENEURSHIP CONNECTION(BEC).